
MWAKA 1998 YANGA ALIMALIZA KUNDI BILA USHINDI WA MECHI YEYOTE
Nilichokiona kwenye mchezo wa kwanza wa Yanga hatua ya makundi, ni kwamba Yanga imekaribishwa rasmi kwenye Ligi ya Mabingwa baada ya kupita miaka 25 bila timu hiyo kufuzu hatua ya makundi. Meridianbet inatoa bonasi ya ukaribisho kwa wateja wote wanaojisajili kupitia Meridianbet APP, na tovuti. Takribani miaka 25 ipite Yanga kucheza hatua hiyo hakuweza kushinda…