
GUEDE: SIANGALII MTU USONI… ADAI AMEKUJA KIKAZI YANGA, AMTUMIA SALAMU INONGA
MSHAMBULIJAI mpya wa Yanga, Joseph Guede ametamba kwa kuwaonya mabeki wa timu pinzani akiwemo Inonga Baka anayekipiga Simba kwa kusema kuwa amekuja kufanya kazi na wala hatukuwa na huruma nao. Utambulisho wa nyota huyo ulikuwa gumzo tangu juzi baada ya Yanga kuweka wazi kuwa kutakuwa na sapraiz kwenye mchezo wao dhidi ya Hausing FC wengi…