
MWAKINYO ATUMA SALAMU KWA TWAHA
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa ubingwa wa WBO Afrika kwa kumchapa Mghana, Elvis Ahorga kwa KO ya raundi ya sana katika pambano la raundi kumi kwenye uzani wa super middle ambalo limepigwa New Amaan Complex, Zanzibar. Mwakinyo ameshinda pambano hilo huku akiweka rekodi za kushinda mkanda wa ubingwa…