
NYUMBANI TUNAPIGA, UGENINI TUNACHINJA
Nyumbani tunapiga, ugenini tunachinja pia kuna makala maalumu za Aziz Kasese ndani ya gazeti la Championi Jumamosi
Nyumbani tunapiga, ugenini tunachinja pia kuna makala maalumu za Aziz Kasese ndani ya gazeti la Championi Jumamosi
HATIMAYE imefika siku ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki pamoja na benchi la ufundi kuona kipi kitapatikana ndani ya dakika 90. Ligi ya Mabingwa Afrika, mashindano yenye ushindani mkubwa yanatarajiwa kuendelea leo na wawakilishi wa Tanzania, Simba na Yanga watakuwa kazini. Yanga watakuwa nyumbani Uwanja wa Mkapa huku Simba wakiwa ugenini, Botswana wote…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamefunga Novemba kibabe kwa kukomba pointi zote tisa walizokuwa wanazisaka katika mechi tatu za Ligi Kuu Bara. Kwenye mechi hizo tatu Azam FC mbili ilicheza ugenini ilikuwa Mashujaa 0-3 Azam FC Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, Ihefu 1-3 Azam FC Uwanja wa Highland Estate. Kigongo cha kukamilisha hesabu ya tatu…
KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika Desemba 2 2023 Yanga dhidi ya Al Ahly amewataka wachezaji wake wote kuwa watulivu na makini kwenye kutumia nafasi ambazo zitapatikana. Yanga inakibarua cha kusaka ushindi huo kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ikumbukwe kwamba Al Ahly ni mabingwa watetezi.
Taifa la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi wanaijua ile Movie inaitwa Shaolin Soccer ilikuwa balaa sana, jamaa walikuwa wanaupiga mpira ile mbaya lakini kuna mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni unaitwa Shaolin Crew ni balaa kwenye kutoa washindi na Maokoto ya kutosha. Shaolin Crew ni sloti mpya ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse…
HELO Desemba Mosi Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi ambapo leo Desemba Mosi, Uwanja wa Liti dakika 90 za jasho zinatarajiwa kuwa kwa wababe watakaokuwa wakisaka pointi tatu. Singida Fountan Gate iliyotoka kushinda mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union itakabiliana na Wajeda, JKT Tanzania kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza. Hussein Masanza, Ofisa Habari…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa burudani inarejea mahali pake baada ya kukosekana kwa muda ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Desemba 2 2023 Yanga inatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkapa kumenyana na Waarabu wa Misri, Al Ahly ukiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Ali Kamwe, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga amesema…
UONGOZI wa Tabora United umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi tatu dhidi ya wapinzani wao Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Desmba Mosi ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa timu zote mbili ndani ya mwezi mpya Desemba. Ofisa Habari wa Tabora United, Pendo Lema amesema kuelekea mchezo wao…
WATAONDOKA ndani ya timu zao ambazo ni Simba na Yanga ikiwa hawataongezewa madili yao kwa kuwa mikataba yao inawapa ruhusa ya kufanya mazungumzo na timu nyingine.
NI Rais wa Yanga SC, Hersi Said amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Chama cha Vilabu barani Afrika (African Clubs Association – ACA), katika uchaguzi uliofanyika leo nchini Misri. Hersi atasaidiwa na makamu wenyeviti wawili ambao ni Jessica Motaung wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini na Paul Bassey kutoka Akwa United ya Nigeria. Kila la…
Yanga: Sasa ndio mtatuelewa, Chama atoa tamko zito Simba SC ndani ya Championi Ijumaa
MAPEMA kabisa Desemba Mosi 2023 kikosi cha Simba kimekwea pia kueleka Botswana kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao utakuwa ni wa pili kwao. Mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas hivyo waligawana pointi mojamoja na langoni alikaa Ayoub Lakred ambaye yupo…
TIMU ya Taifa ya Wanawake, Twiga Stars ipo kazini inapambania nembo ya taifa kwa kupata ushindi katika viunga vya Azam Complex kwenye mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya kuwania Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Wafcon) 2024. Ni dhidi ya Togo kwenye Uwanja wa Azam Complex, jijini Dar ambapo wameanza…
WAKALI wa pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 ikiwa ni mzunguko wa kwanza. Clatous Chama wa Simba msimu wa 2022/23 alikuwa kwenye ubora wake kwa sasa bado anajitafuta. Huku Clement Mzize akiwa miongoni mwa nyota wanaofanya vizuri ndani ya Yanga
Nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes, alikuwa na kiwango bora sana usiku wa mabingwa Ulaya kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya 3-3 dhidi ya Galatasaray ugenini. Man United walikwenda kwenye mchezo wakiwa na matumaini ya kupata pointi tatu na walianza vizuri wakiongoza 2-0 baada ya dakika 18 tu. Fernandes alitoa pasi ya ufunguzi kwa Rasmus…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AlAhly, Waarabu wa Misri. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inapeperusha bendera ya Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya makundi. Ikumbukwe kwamba ilitinga hatua hiyo kwa kuwafungashia virago Al…
NYAKATI ngumu hazidumu lakini zina maumivu makubwa kwa anayekutana nazo hivyo ni muhimu kutafuta njia nzuri ya kuepukana na hayo kwa umakini, hivyo tu basi. Wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa, Simba wanapita kwenye nyakati za maumivu kwa wachezaji kushindwa kupata ushindi katika mechi tatu za Ligi ya Mabingwa Afrika zaidi ya kuambulia sare….