
LIGI YA MABINGWA ULAYA MOTO UTAWAKA LEO
Kivumbi cha ligi ya mabingwa ulaya kitaendelea leo ambapo itapigwa michezo miwili mikali kwenye michuano hiyo itakayokutanisha vilabu ambavyo vimekua na uzoefu wa michuano hiyo. Klabu ya Atletico Madrid wao watakua wenyeji kuwakaribisha Borussia Dortmund kutoka kule nchini Ujerumani, Huku Paris Saint German wao watakua nyumbani kupambana na mabingwa mara tano wa michuano hiyo klabu…