
SIMBA YAWAFUATA AL AHLY MISRI KAMILI
WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa hatua ya robo fainali Simba wamekwea pipa kuelekea Misri kusaka ushindi dhidi ya Al Ahly. Huo ni mchezo wa robo fainali wa pili unaokweda kukamilisha dakika 180 katika Ligi ya Mabingwa Afrika na mshindi wa jumla anakwenda kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika….