
YANGA HESABU ZAO ZIPO HIVI
BAKARI Mwamnyeto nahodha wa Yanga amesema kuwa kikubwa ambacho wanakihitaji kwenye mechi ambazo wanacheza ni pointi tatu. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mashujaa wakiwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Mei 5 2024 walikomba pointi tatu mazima. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Mashujaa 0-1 Yanga na bao la ushindi likifungwa…