
AZAM FC NA HESABU ZAO
YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa msimu wa 2023/24 ulikuwa na ushindani mkubwa na kila mchezaji alikuwa akitimiza majukumu yake. Ni wazi kuwa Azam FC inaungana na Yanga kupeperusha bendera ya Tanzania Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ambapo ilimaliza ikiwa na pointi 69 baada…