
YANGA NA SIMBA KUANZIA ROUND YA PILI MASHINDANO YA CAF 2024/25
Msimu wa mashindano ya CAF Interclub 2024/25 utaanza kwa raundi ya awali kati ya tarehe 16 Agosti hadi 18 Agosti, 2024 huku hatua za makundi zikipangwa kufanyika kati ya mwezi Oktoba hadi mwezi Desemba mwaka 2024. Klabu ya Yanga itaanza kampeni zake za Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye raundi ya pili michuano hiyo na wataanzia…