
MWAKINYO ASHINDA UBINGWA WA WBO KWA TKO
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo usiku wa kuamkia June 02, 2024 ameshinda Ubingwa wa WBO kwa TKO kwa kumpiga Bondia Mghana Patrick Allotey kwenye Ukumbi wa Warehouse uliopo Masaki, Dar es Salaam aliyeshindwa kuendelea na pambano round ya pili akidai ameumia bega. Pambano hilo lilipangwa kuchezwa June 01, 2024 lilishindwa kufanyika kwasababu…