
MZEE WA BOLI ITEMBEE NA DAKIKA 270 ZA MOTO
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba katika mechi tatu ambazo ni dakika 270 ameshuhudia timu hiyo ikiambulia sare moja, ikishinda mechi mbili. Ni dakika za moto uwanjani kutokana na wachezaji wa kikosi cha kwanza kutokuwa fiti ikiwa ni pamoja na Kibu Dennis aliyepata maumivu kwenye mchezo dhidi ya Namungo, Henock Inonga ambaye ni beki alipata…