
YANGA KUJA NA JAMBO HILI KUBWA
JAMBO lingine kubwa linakuja kutoka kwa Yanga mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 wakidhaminiwa na kampuni ya SportPesa. Jambo hilo ni uzinduzi wa kitabu cha Yanga kinachotarajiwa kuzinduliwa Jumamosi Juni 15 uongozi wa Yanga umebainisha kwamba umekusanya mengi ya muhimu bila kuacha chochote. Ipo wazi kwamba kwa msimu wa 2023/24 Yanga imetwaa taji…