
REAL MADRID, BAYERN MUNICH WATINGA NUSU FAINALI YA LIGI YA MABINGWA, MAN CITY & ARSENAL ‘OUT’
Real Madrid imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa penalti 4-3 dhidi ya Manchester City kwenye hatua ya robo fainali. Arsenal pia imesukumizwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia kipigo cha jumla cha 3-2 dhidi ya Bayern Munich kwenye robo fainali. FT: Man City ??????? 1-1 ?? Real…