
FEI TOTO AFICHUA JAMBO HUKO
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ameweka wazi kuwa kuwa bora ndani ya uwanja ni kufuata maelekezo ya mwalimu. Fei amekuwa bora msimu wa 2023/24 akiwa na uzi wa Azam FC ni mabao 14 katupia ndani ya ligi akiwa namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi. Nyota huyo bao la 14 alipachika kwenye mchezo…