
FAINALI MUUNGANO SIMBA V AZAM FC
BAADA ya Azam FC kupata ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya KMKM kwenye mchezo wa nusu fainali ya Muugano sasa inakwenda hatua ya fainali itakutana na Simba. Aprili 25 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex baada ya dakika 90 ulisoma Azam FC 5-2 KMkm kwenye nusu fainali ya pili. Mchezo wa fainali unatarajiwa kuchezwa…