


MAOKOTO NA BONASI ZA KASINO UNAZIPATA UKISHIRIKI SHINDANO LA EXPANSE
Expanse Studio ni magwiji kwenye utengenezaji wa michezo ya kasino, Meridianbet ni nyumba ya mabingwa kwa wachezaji wa kasino, kupitia shindano jipya la Expanse unaweza kuibuka na ushindi mkubwa sana. Jisajili sasa uwe wa kwanza kupata bonasi kubwa za kasino. Hii ni kwa wachezaji wa michezo ya kasino ya mtandaoni, kila unapocheza michezo ya kasino…

YANGA WABABE KARIAKOO DABI
MSIMU wa 2023/24 kwa watani wa jadi Yanga na Simba umegota mwisho huku Yanga wakiwa ni wababe ndani ya ligi nje ndani. Aprili 20 2024 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 2-1 Simba na ule mchezo wa mzunguko wa kwanza ilikuwa Simba 1-5 Yanga. Mchezo wa mzunguko wa kwanza ulichezwa Novemba 5 2023 Yanga…

F T: YANGA 2-1 SIMBA
MCHEZO wa Ligi Kuu Bara Kariakoo Dabi Yanga wameibuka na ushindi kwa mabao 2-1 Simba ikiwa ni mzunguko wa pili. Yanga walianza kufunga mapema kupitia kwa Aziz KI dakika ya 23 kwa mkwaju wa penalti na mwamba Joseph Guede bao moja dakika ya 37. Simba wamepata bao moja kipindi cha pili kupitia kwa Michael Fred…

WIKIENDI YA MAOKOTO, KITAWAKA SERIE A, EPL KITAWAKA LEO
Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi, leo ni leo yani usipopiga pesa leo utapigwa lini?. Chagua machaguo yako uyapendayo na ujiweke kwenye nafasi ya kuwa milionea. SERIE A, kama kawaida nayo leo kuna mechi mbili, saa 1:00 usiku Empoli atamenaya dhidi ya Napoli ambapo Naples anaingia uwanjani akikumbuka kipigo alichopoke akiwa nyumbani. Meridianbet…

SIMBA KAMILI KUWAKABILI YANGA KWA MKAPA
SHOMARI Kapombe, beki wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga. Aprili 20 2024 mchezo wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mzunguko wa pili kwa timu hizo kukutana. Ipo wazi kwamba kwenye mzunguko wa kwanza ubao…

MAPILATO WA KARIAKOO DABI HAWA HAPA
BODI ya Ligi Kuu nchini imemtangaza mwamuzi wa kimataifa, Ahmed Arajiga kuwa ndiye atazisimamia sheria 17 za soka katika mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga dhidi ya Simba. Arajiga atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga, Kassim Mpanga wa Dar es Salaam huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo. Kariakoo Derby itachezwa Jumamosi…

YANGA: SIMBA WAKIJICHANGANYA KUKUTANA NACHO
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa watani zao wa jadi Simba wakijichanganya watawatuliza kimya kwa kuwa hesabu zao ni kupata matokeo kwenye mechi zote na sio dhidi ya Simba pekee. Yanga watawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 20 2024 wao wakiwa ni wenyeji wa mchezo huo. Ipo wazi…

AZAM FC YASHINDA KESI DHIDI YA MSHAMBULIAJI WAO PRINCE DUBE
Klabu ya Azam FC imeshinda kesi dhidi ya mshambuliaji wao Prince Dube kuhusu masuala ya kimkataba na sasa mchezaji huyo atatakiwa kuilipa klabu ya Azam FC kiasi cha Dola 210,000 sawa na zaidi ya milioni 540 za kitanzania) ili aweze kuwa mchezaji huru.

WAJUE MASTAA WA KUCHUNGWA KARIAKOO DABI
JOTO kubwa kuelekea Kariakoo Dabi, Uwanja wa Mkapa linazidi kupanda ambapo Aprili 20 2024 itafahamika nani atakuwa nani baada ya dakika 90 kutokana na kazi kubwa ya mastaa wote kuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa wa kuchungwa kuelekea Kariakoo dabi namna hii:-

MERIDIANBET WATOA MSAADA MAKONGO DAR
Magwiji wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imetembelea eneo la Makongo tawi la Mlalakua kwajili ya kutoa msaada wa vifaa vya usafi ambavyo vitasaidia kuimarisha usafi eneo hilo. Meridianbet mara kwa mara wamekua wakihakikisha wanarudisha fadhila kwenye jamii yao ambayo imewazunguka, Leo imekua ni zamu ya eneo la Makongo jijini Dar-es-salaam ambao ndio wamekua…

Bashiri na Meridianbet Mechi za Leo
Wikendi inaanza Ijumaa ye leo ambapo ligi mbalimbali zinatarajiwa kupigwa kuanzia kule Ujerumani mpaka Italia huku meridianbet wakikupa nafasi kubwa za kupiga maokoto ukisuka jamvi lako na kubashiri nao. Ingia sasa meridianbet ushinde pesa. Leo SERIE A saa 1:30 kutakuwa na mtanange mzito kabisa kati ya Genoa dhidi ya Lazio ambaye yupo nafasi ya 7…

MERIDIANBET KASINO MGODI WA MADINI NA MAOKOTO
Dhahabu ni moja kati ya utajiri wenye thamani kubwa sana, Mabenki na wafanyabiashara wakubwa hutumia dhahabu kutunza ukwasi wao, Meridianbet kasino ya mtandaoni ni mgodi bora wa madhini yenye pesa kibao, cheza mchezo wa Black Gold uwe moja kati ya mabilionea wakubwa. Jisajili hapa kama hauna akaunti ya Meridianbet. Black Gold ni sloti ya kasino…

EUROPA ya Leo una nafasi ya kutusua mkwanja leo
EUROPA imefika mapema tuuh na wewe mteja wa meridianbet una nafasi ya kutusua mkwanja leo hii endapo utabashiri kwa usahihi mechi zako zote huku kukiwa na machaguo zaidi ya 1000. Michezo ya Kasino pia ipo cheza sasa. West Ham United atamleta nyumbani kwake Bayer Leverkusen ambaye ndiye bingwa wa Bundesliga ambalo alilichukua wiki iliyopita. Mechi…

MASTAA WALIOFUNGA KARIAKOO DABI
NGOMA inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 20 2024 kwenye Kariakoo Dabi ambapo kila timu itakuwa kazini kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba kwenye mzunguko wa kwanza mchezo uliochezwa Novemba 5 2023 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga. Hawa hapa waliofunga Kariakoo Dabi tukianza na wenyeji Yanga namna hii:- Kennedy…

AZAM FC WABANANA NA MASHUJAA
AZAM FC matajiri wa Dar wametoshana nguvu dhidi ya Mashujaa kutoka Kigoma, mwisho wa reli katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Azam FC 0-0 Mashujaa kwenye mchezo wa mzunguko wa pili. Azam FC inasalia nafasi ya pili ikiwa na pointi 51 Mashujaa nafasi ya…

HUU HAPA MTAMBO WA MABAO SIMBA
NDANI ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kuna mitambo mingi ya mabao lakini kwa sasa namba moja ni Clatous Chama. Ipo wazi kwamba kasi ya Chama msimu wa 2023/24 imeporomoka licha yakuwa na uhakika kikosi cha kwanza kuna sababu nyingi zinasababisha yote hayo ikiwa ni pamoja na wachezaji wa Simba kuongoza…