Home Sports MAOKOTO NA BONASI ZA KASINO UNAZIPATA UKISHIRIKI SHINDANO LA EXPANSE

MAOKOTO NA BONASI ZA KASINO UNAZIPATA UKISHIRIKI SHINDANO LA EXPANSE

Expanse Studio ni magwiji kwenye utengenezaji wa michezo ya kasino, Meridianbet ni nyumba ya mabingwa kwa wachezaji wa kasino, kupitia shindano jipya la Expanse unaweza kuibuka na ushindi mkubwa sana. Jisajili sasa uwe wa kwanza kupata bonasi kubwa za kasino.

Hii ni kwa wachezaji wa michezo ya kasino ya mtandaoni, kila unapocheza michezo ya kasino au sloti zilizotengenezwa na Expanse Studio unakuwa na nafasi ya kupata mgao wa mpaka Tsh 1,250,000/= au mizunguko ya bure kufurahia nafasi ya kujaribu zaidi bahati yako pale Meridianbet.

Maelezo ya Msibgi Shindano la Expanse

Promosheni hii imeanza 18.04. 2024 ambapo bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi watakaokuwa wanatangazwa kila siku, baada ya kucheza moja kati ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.

Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz

Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano kwa wachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni:

  • Battle of Egypt
  • Forest Rock
  • Fortune Farm
  • Lucky’s Betting Shop
  • Maya’s Treasure
  • Piggy Party
  • Spinning Buddha
  • Sticky 777
  • The Book of Eskimo
  • Veni Vidi Vici
  • Wild Corrida
  • Zombie Apocalypse
  • Battle for the Throne
  • Bounty Hunters
  • Capital City Derby
  • Casino Heist
  • Fairy in Wonderland
  • Odd One Out
  • Planet Power
  • Shaolin Crew

Wachezaji watashindana kwa mfumo wa pointi ambapo kila dau la jumla ya TZS 2,500 litatoa pointi 2.  Dau la chini kwa kila mzunguko kwa promosheni hii ni TZS 400.

Kulingana na msimamo wa mwisho, wachezaji 40 watazawadiwa pesa taslimu na mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kama ifuatavyo:

  • Nafasi ya 1 – TSH 1,250,000
  • Nafasi ya 2 – TSH 750,000
  • Nafasi ya 3 – TSH 250,000
  • Nafasi ya 4 na 5 – TSH 125,000
  • Nafasi ya 6 mpaka 10 – Mizunguko 300 ya bure kwenye sloti ya PIA
  • Nafasi ya 11 mpaka 20 – Mizunguko 200 ya bure kwenye sloti ya PIA
  • Nafasi ya 21. mpaka 30 – Mizunguko 100 ya bure kwenye sloti ya PIA
  • Nafasi ya 31. mpaka 40 – Mizunguko 50 ya bure kwenye sloti ya PIA

Ushindi utakaotokana na Mizunguko ya bure utahitaji kuzungushwa mara 60x (kwa mfano, ukishinda TZS 10,000 kwenye Mizunguko ya bure, utahitaji kucheza TZS 600,000 kwenye mchezo uleule ili kuhamisha ushindi wako kwenye akaunti ya pesa halisi).

Taarifa kuhusu malipo ya juu kwa kila Kundi la Mizunguko ya bure, washindi watapokea taarifa ambayo itatumwa kwao si zaidi ya saa 13:00 AM tarehe 03.05.2024

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz 

Previous articleYANGA WABABE KARIAKOO DABI
Next articleHABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA TANZANIA LEO APRILI 21, 2024