
SIMBA WATAJA MIPANGO YAO
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kazi kubwa ni kupata pointi tatu kwenye mechi ambazo wanacheza ikiwa ni mchezo dhidi ya Yanga. Kariakoo Dabi inatarajiwa kuchezwa Aprili 20 2024 ambapo Yanga walimabingwa watetezi watawakaribisha Simba. Simba imetoka kupata pointi moja dhidi ya Ihefu kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Liti. Ahmed Ally, Meneja wa…