
KITAWAKA LEO LIGI YA MABINGWA ULAYA ARSENAL VS BAYERN MÚNICH, REAL MADRID VS MAN CITY
HOLOMICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo Aprili 9, 2024 kwa michezo miwili ya mkondo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ambapo itamshuhudia Harry Kane akirejea Kaskazini mwa Jiji la London kwa mara ya kwanza tangu alipoondoka Tottenham na kujiunga na miamba ya Ujerumani, Bayern Munich. Kane anatarajiwa kuwa mwiba mkali kwa wenyeji,…