
MKUDE ALIPETA KIMATAIFA SABABU HII HAPA
JONAS Mkude kiungo wa Yanga alipeta kwenye mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns Uwanja wa Mkapa kwa kuanza kikosi cha kwanza na alikomba dakika 90 ikiwa ni mchezo wake wa kwanza kwenye anga la kimataifa kuanza mwanzo mwisho