
MERIDIANBET YAGAWA REFLECTORS KWA BODABODA
Hii inaweza kusema wamefikiwa sasa kwani baada ya mabingwa michezo ya kubashiri Meridianbet kupita maeneo mbalimbali ya jijini Dar-es-salaam lakini hawakua wamefika katika eneo la Magomeni na kutoa msaada. Meridianbet wamelifikia eneo la Magomeni na kufanikiwa kugawa Reflectors kwa Bodaboda wa eneo hilo kama ilivyo utaratibu wa kampuni ya Meridianbet kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao…