Home Sports MASTAA WA SIMBA KIMATAIFA WAMEVUJA JASHO NAMNA HII

MASTAA WA SIMBA KIMATAIFA WAMEVUJA JASHO NAMNA HII

MASTAA wa Simba kwenye anga la kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika wamevuja jasho mwanzo mwisho kupambania kombe na hapa tunakuletea dakika zao huku kwa upande wa makipa mwamba Ayoub Lakred amekuwa akipeta eneo hilo

Previous articleGAMONDI MASTA NA HESABU KIMATAIFA HAPA
Next articleSIMBA WANA KAZI KUMALIZA KWA MKAPA, UGENINI BALAA