
HII HAPA RATIBA YA SIMBA KITAIFA NA KIMATAIFA
ndani YA Aprili 2024 kikosi cha Simba kina mechi tano za nguvu kwa ajili ya kusaka ushindi kitaifa na kimataifa. Kwenye mechi hizo moja pekee itakuwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika na mchezo mmoja wa Azam Sports Federation na tatu zitakuwa za Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba mechi zake zote hizo itakuwa ugenini kusaka…