
PARIMATCH YAZINDUA PROMOSHENI YA TWENZETU DUBAI, ZAYLISSA, KIREDIO WAULA
MASHABIKI wa soka, tenisi, UFC, Kriketi, baseball na michezo mingine sasa wanaweza kushinda tiketi ya kwenda Dubai kwa kubashiri na kampuni ya Parimatch Tanzania. Pia kampuni hiyo imeingia mkataba na muigizaji nyota, Zainabu Saidi Bakari maarufu kwa jina la Zaylissa kuwa balozi wa chapa yao, “Brand Ambassodor”. Mbali ya Zaylissa, pia mchekeshaji maarufu nchini, Vincent…