
HAWA HAPA WABABE NDANI YA NUSU FAINALI
WABABE wanne ndani ya CRDB Federation Cup safari imekamilika tayari kwa kila timu kutambua mpinzani wake hatua ya nusu fainali. Yanga ni mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup walipenya hatua ya nusu fainali kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Azam Complex ukisoma Yanga 3-0 Tabora United. Yanga hatua ya nusu fainali itakuwa dhidi ya Ihefu….