Home Sports Anza Alhamisi Yako na Meridianbet

Anza Alhamisi Yako na Meridianbet

Leo hii kuna mechi za kupiga pesa yaani ni kivumbi leo michuano ya Europa na Konferensi hatua ya Nusu Fainali ambapo kila timu inahitaji ushindi ili kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga Fainali.

Vijana wa  De Rossi AS Roma watamenyana dhidi ya Bayer Leverkusen ambao ndio timu pekee kwenye ligi bora Duniani Ulaya ambayo haijapoteza mechi yoyote kwenye mashindano yote msimu huu, huku tayari wakiwa ndio mabingwa wa ligi kuu ya Ujerumani. Roma yeye anashika nafasi ya tano kwenye ligi hadi sasa baada ya kucheza mechi zake 34.

Nusu fainali hii itapigwa katika dimba la Stadio Olimpico huku Meridianbet wao wakimpa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi Alonso na vijana wke kwa ODDS 2.06 kwa 3.47. Je wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Beti na meridianbet sasa.

Huku kwa upande wa Atalanta yeye atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Olympique Marseille kutoka kule Ufaransa. Timu hii kule Ligue 1 ipo nafasi ya saba baada ya kucheza mechi zake 31 hadi sasa, Wakati vijana wa Gasperini wao wapo nafasi ya sita kwenye michezo yao 33 waliyocheza hadi sasa.

Mechi hii imepewa ODDS 2.55 kwa 2.69. Je nani kuondoka na ushindi leo hii kwenye hii mechi ya kwanza ya Nusu Fainali ambayo kila mmoja anaitamani sana kuvuka na kwenda fainali? Tengeneza jamvi hapa.

Ukiachana na mechi ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Konferensi Ligi nayo kama kawaida itaendelea leo ambapo zitapigwa mechi mbili za maana kabisa ambazo hutakiwa kukosa nikianza na mtanange wa Aston Villa kutoka Uingereza dhidi ya Olympiacos Piraeus kutoka Ugiriki.

Aston Villa ya Unai Emery ndio inapendelewa kuondoka na pointi tatu ndani ya Meridianbet kwa kupewa ODDS 1.37 kwa 8.23. Pia mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Nusu Fainali nyingine ni hii ya ACF Fiorentina dhidi ya Club Brugge ambao wapo nafasi ya pili kwenye ligi kuu ya Ubelgiji wakiwa wamepoteza mechi saba pekee hadi sasa. Huku Mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 8 na akiwa amepoteza mechi 11 kwenye ligi.

1.73 kwa 4.60 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi lako muda huu na uanze kubashiri mechi hii ili ujiweke kwenye nafasi ya kukwapua mpunga wa meridianbet.

Previous articleYANGA NA SIMBA MWENDO WA FAINI, ADHABU YA CHAMA NDOGO
Next articleKIBU DENNIS AIBUA JAMBO SIMBA