Home Uncategorized SHINDANO LA EXPANSE MERIDIANBET LINATOA MGAO WA PESA KWA WASHINDI KILA SIKU

SHINDANO LA EXPANSE MERIDIANBET LINATOA MGAO WA PESA KWA WASHINDI KILA SIKU

Meridianbet Kasino ya Mtandaoni ni moja ya chimbo rahisi la kutengenezea pesa, kupitia promosheni, bonasi za kasino, na michezo mingi ya kasino na sloti inakupa nafasi ya kushinda pesa na kuwa tajiri kirahisi. Jisajili Meridianbet uwe moja kati ya washindi wa kila siku.

Expanse Studio ni mtoa huduma bora wa michezo ya kasino ambaye anafanya kazi na familia ya mabingwa Meridianbet, na sasa Meridianbet imeanzisha shindano maalum linalohusu michezo ya kasino kutoka Expanse, kila anayecheza anaingia kwenye nafasi ya kushinda bonasi za kasino mpaka Tsh 1,250,000/=

Kanuni za Shindano la Expanse Kasino ya Mtandaoni

Promosheni hii imeanza 18.04. 2024 ambapo bonasi za kasino zitagawiwa kwa washindi watakaokuwa wanatangazwa kila siku, baada ya kucheza moja kati ya michezo ya kasino ya mtandaoni iliyopo Meridianbet kutoka Expanse studio.

Promosheni ni halali kwa wachezaji waliosajiliwa kwenye APP na tovuti ya meridianbet.co.tz

Promosheni itafanyika katika mtindo wa mashindano kwa wachezaji kwenye sloti zinazotolewa na Expanse Studio. Michezo ya kasino ya mtandaoni itakayotumika wakati wa promosheni ni:

    • Battle of Egypt
    • Forest Rock
    • Fortune Farm
    • Lucky’s Betting Shop
    • Maya’s Treasure
    • Piggy Party
    • Spinning Buddha
    • Sticky 777
    • The Book of Eskimo
    • Veni Vidi Vici
    • Wild Corrida
    • Zombie Apocalypse
    • Battle for the Throne
    • Bounty Hunters
    • Capital City Derby
    • Casino Heist
    • Fairy in Wonderland
    • Odd One Out
    • Planet Power
    • Shaolin Crew

Wachezaji watashindana kwa mfumo wa pointi ambapo kila dau la jumla ya TZS 2,500 litatoa pointi 2.  Dau la chini kwa kila mzunguko kwa promosheni hii ni TZS 400.

Kulingana na msimamo wa mwisho, wachezaji 40 watazawadiwa pesa taslimu na mizunguko ya bure kucheza kwenye kasino ya mtandaoni kama ifuatavyo:

    • Nafasi ya 1 – TSH 1,250,000
    • Nafasi ya 2 – TSH 750,000
    • Nafasi ya 3 – TSH 250,000
    • Nafasi ya 4 na 5 – TSH 125,000
    • Nafasi ya 6 mpaka 10 – Mizunguko 300 ya bure kwenye sloti ya PIA
    • Nafasi ya 11 mpaka 20 – Mizunguko 200 ya bure kwenye sloti ya PIA
    • Nafasi ya 21. mpaka 30 – Mizunguko 100 ya bure kwenye sloti ya PIA
    • Nafasi ya 31. mpaka 40 – Mizunguko 50 ya bure kwenye sloti ya PIA

Ushindi utakaotokana na Mizunguko ya bure utahitaji kuzungushwa mara 60x (kwa mfano, ukishinda TZS 10,000 kwenye Mizunguko ya bure, utahitaji kucheza TZS 600,000 kwenye mchezo uleule ili kuhamisha ushindi wako kwenye akaunti ya pesa halisi).

Taarifa kuhusu malipo ya juu kwa kila Kundi la Mizunguko ya bure, washindi watapokea taarifa ambayo itatumwa kwao si zaidi ya saa 13:00 AM tarehe 03.05.2024.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Previous articleAZAM FC WAITULIZA IHEFU
Next articleAMETOA TAMKO HILI BOSI SIMBA KUHUSU MWENDO WAO