Home Sports MANCHESTER CITY YATINGA FAINALI YA KOMBE LA FA ENGLAND

MANCHESTER CITY YATINGA FAINALI YA KOMBE LA FA ENGLAND

Manchester City imetinga fainali ya kombe la FA England kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Chelsea katika dimba la Wembley kwenye nusu fainali.

FT: MAN CITY 1-0 CHELSEA
⚽ Bernardo Silva 84’

Manchester City imetangulia nusu fainali kumsubiri mshindi wa nusu fainali ya pili kati ya Coventry dhidi ya Manchester United itakayopigwa kesho katika dimba la Wembley.

Previous articleHABARI KUBWA ZA MAGAZETI YA TANZANIA LEO APRILI 21, 2024
Next articleJE UNAJUA KUWA UKIBETI NA MERIDIANBET UNAWEZA KUWA MILIONEA?