
YANGA WANAUTAKA UBINGWA WAO
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mipango yao ipo palepale kupambana kufikia malengo ya kutwaa ubingwa kwa kuwa hilo ni jambo ambalo walianza nalo kazi mapema mwanzo wa msimu. Chini ya Miguel Gamondi, Yanga imekuwa ikipata matokeo kwenye mechi zake za ushindani huku safu ya ushambuliaji ikiwa inaongozwa na kiungo mshambuliaji Aziz KI mwenye mabao…