
ZIMBWE JUNIOR: HATUJAFIKIA MALENGO
NAHODHA msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein Zimbwe Junior ameweka wazi kuwa hawajafikia malengo yao ndani ya msimu wa 2023/24 kwenye Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba Simba imepishana na mataji yote muhimu kuanzia Ligi Kuu Bara, CRDB Federation cUP na Ligi ya Mabingwa Afrika. Itashiriki Kombe la Shirikisho msimu wa 2024/25 baada ya kumaliza ligi…