SIMBA WATOA YA MOYONI, KUREJEA KWENYE UBORA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa utafanyia kazi makosa ambayo yamepita ili kurejea kwenye ubora wao kwa kuwa nyakati ambazo wamepita zimewaumiza. Ipo wazi kuwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda imegotea nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 69. Imepishana na taji la ligi pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika…

Read More

MWAKINYO ASHINDA UBINGWA WA WBO KWA TKO

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo usiku wa kuamkia June 02, 2024 ameshinda Ubingwa wa WBO kwa TKO kwa kumpiga Bondia Mghana Patrick Allotey kwenye Ukumbi wa Warehouse uliopo Masaki, Dar es Salaam aliyeshindwa kuendelea na pambano round ya pili akidai ameumia bega. Pambano hilo lilipangwa kuchezwa  June 01, 2024 lilishindwa kufanyika kwasababu…

Read More

REAL MADRID YATWAA UBINGWA WA LIGI YA MABINGWA ULAYA

REAL MADRID imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya KUMI NA TANO (15) kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi miamba ya Ujerumani, Borussia Dortmund kwenye fainali iliyopigwa katika dimba la Wembley, London. Borussia Dortmund walikuwa bora sana kipindi cha kwanza lakini walishindwa kuwaadhibu Mabingwa hao wa Uhispania kabla ya mambo kugeuka kichwa chini…

Read More

ZAIDI YA MIL 400 ZINAKUSUBIRI WEWE, CHEZA NA USHINDE EXPANSE TOURNAMENT KASINO

Kila siku mapambanao ya utafuutaji lazima yaendelee, na siku zote mtafutaji hachoki, kupitia Meridianbet kasino ya mtandaoni kuna promosheni ya Tsh Milion 400,000,000/= kwaajili yako wewe, mpenzi w michezo ya kasino, Expanse Tournament ni yako kwa ushindi mkubwa. Jisajili na Cheza Meridianbet Kasino. Katika promosheni hii unapokuwa unacheza mchezo wako pendwa wowote ule uliotengenezwa na…

Read More

MWAMBA HUYU HAPA ATAJWA KUMALIZANA NA YANGA

 BEKI wa kazi ndani ya FC Lupopo Chadrack Boka anatajwa kumalizana na mabosi wa Yanga kwa ajili ya kuwa ndani ya timu hiyo msimu wa 2024/25. Beki huyo mwenye miaka 24 raia wa DR Congo Yanga wanatajwa kumalizana naye mapema kwa ajili ya kuimarisha kikosi hicho kinachonolewana Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ipo wazi kwamba Yanga…

Read More

BETPAWA YAFANYA AMSHAAMSHA MWANZA KUELEKEA FAINALI

KAMPUNI ya michezo ya kubashiri ya betPawa imewazawadia vifaa vya michezo timu mbalimbali za mkoa wa Mwanza ikiwa sehemu ya kuchangia maendeleo ya soka na amsha amsha ya mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA kati ya Borussia Dortmund na Real Madrid itakayofanyika Jumamosi, Juni 1, 2024. Tukio hilo lililopewa jina la Soka…

Read More

MATAJIRI WA DAR KAMILI KUIKABILI YANGA

AZAM FC wapo tayari Zanzibar kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa fainali dhidi ya Yanga. Ni CRDB Cup inatarajiwa kuchezwa Juni 2 2024 Uwanja wa New Amaan Complex kwa kila timu kupambania taji hilo. Miongoni mwa wachezaji waliopo na kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo ni pamoja na Feisal Salum, Jhonier Blanco…

Read More

KOMBE LA YANGA LATUA KILELE CHA MT. KILIMANJARO

Baada ya msimu 2023/24 kumalizika Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa mara ya tatu mfululizo, Klabu ya Yanga wamepeleka kombe lao walilobeba msimu huu kwenye kilele cha mlima mrefu kuliko yote Barani Afrika, Mlima Kilimanjaro. Kombe hilo leo Ijumaa Mei 31, 2024 limefika katika kilele cha Mlima Kilimanjaro. Kabla ya msimu kuanza, Simba SC…

Read More

YANGA WAPO KAMILI KUWAKABILI AZAM FAINALI

MABINGWA wa CRDB Federation Cup Yanga wameanza hesabu kuelekea mchezo wao wa fainali dhidi ya Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo. Ipo wazi kwamba Mei 30 kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi kilitia timu ndani ya Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo ujao. Ukiweka kando kuwa na taji…

Read More

WAJUE WAWAKILISHI WA KIMATAIFA

PAZIA la Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 limefungwa kwa kila timu kujua ilivuna nini baada ya kupanda kwenye mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 za jasho kuvuja kupata matokeo chanya ndani ya uwanja. Hakuna ambaye alikuwa hana mpango wa kutwaa taji la ligi ila ipo wazi ni lazima mshindi awe mmoja katika timu 16…

Read More

KIBU DENNIS KIUNGO WA KAZI AIGOMEA STARS

KIUNGO wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda Kibu Denis amekataa kujiunga na kikosi cha timu ya taifa akidai anakwenda mapumziko nchini Marekani. Taarifa za uhakika zinasema baada ya kuchaguliwa katika kikosi cha timu ya taifa kinachojiandaa na mechi dhidi ya Zambia kwa kuweka kambi ya siku 7 nchini Indonesia, Kibu alikaa…

Read More

MFALME WA PASI ZA MWISHO BONGO HUYU HAPA

UTAWALA mpya umesimikwa ndani ya Ligi Kuu Bara huku Klabu ya Azam FC ikiwa ni miongoni mwa timu ambazo zimefanya kweli kweye ushindani. Wakati wakiwa na mchezaji namba mbili kwenye chati ya ufungaji ambaye ni Feisal Salum akiwa katupia mabao 19 na pasi saba za mabao kuna mwamba anaongoza kwa pasi za mwisho. Ipo wazi…

Read More