
AZAM FC YAMALIZANA NA MTAMBO WA MABAO
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo wamemalizana na mtambo wa mabao kutoka Mashujaa kwa ajili ya changamoto mpya ndani ya timu hiyo. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Azam FC ilimaliza ligi ikiwa nafasi ya pili na pointi 69 baada ya kucheza mechi 30 itapeperusha bendera…