
LEO NI LEO KWA MABINGWA YANGA
SIKU iliyokuwa inasubiriwa na Wanachama pamoja na viongozi wa Yanga imewadia ambayo ni leo Juni 9 2024 ambapo kutakuwa na mkutano mkuu. Yanga watafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi. Maandalizi yamekamilika kwa asilimia kubwa kuelekea kwenye mkutano huo ambao utakuwa wa kipekee…