
PROFESA JANABI AZIGEUKIA USAJILI YANGA, SIMBA
MKURUGENZI Mtendaji wa Hospita ya Taifa ya Muhimbili, Profesa, Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na Coastal Union na kuzishauri kuzingatia zaidi vipimo makini kwa wachezaji wapya watakaowasajili msimu wa 2023/24. Kauli hiyo ameitoa leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwezo wa Hospital ya Muhimbili- Mloganzila, katika tukio la kuagana na mchezaji…