MTAMBO WA KUVUNJA REKODI BONGO AZIZ KI

MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba aliibuka Yanga akitokea ASEC Mimosas ya Ivory Coast msimu wa 2022/23 ambapo alikuwa akitajwa pia kuwaniwa na Simba inayonolewa na Juma Mgunda. Ki aliyetambulishwa…

Read More

JEMBE AZUNGUMZIA MKATABA WA JOBE NA MANGUNGU KUSAJILI

LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari Bongo, Saleh Jembe ameweka wazi kuwa ikiwa Mangungu ataachiwa suala la usajili inaweza kuwa ni mzigo mzito zaidi kwake akibainisha kwamba kwa sasa Simba wanahitaji marekebisho ya timu yao na wapunguze maneno mengi zaidi wafanye kazi kwa ushirikiano zaidi. Ameweka wazi kuwa kati ya timu ambayo imeongoza kwa…

Read More

LIVE BUNGENI: WAZIRI MWGULU ANAWASILISHA MAKADIRIO NA MATUMIZI YA BAJETI KUU YA SERIKALI 2024/2025

Serikali imesema bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 imelenga kutekeleza vipaumbele vitakavyojikita katika kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu” pamoja na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2024/25. Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameyataja maeneo ya vipaumbele yaliyoainishwa katika mpango huo kuwa ni pamoja na…

Read More

JUVENTUS YAMTEUA THIAGO MOTTA KUWA KOCHA MPYA

Klabu ya Juventus ya Serie A imethibitisha kumteua mkufunzi Thiago Motta kuwa kocha mkuu klabuni hapo kwa mkataba wa miaka mitatu mpaka Juni 2027. “Ninayo furaha kuanza ukurasa huu mpya katika klabu bora kama Juventus, asante kwa imani yenu na ninaweza kuhakikisha nitajitolea kuwafanya mashabiki wa Juventus wajivunie”. — Mota Mota (41) raia wa Italia…

Read More

MANGUNGU: MO DEWJI NI MWANASIMBA JASIRI

Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amewajibu Wanasimba wanaodhani kuwa hana maelewano na Mwekezaji Mo Dewji kuwa “Nani kawaambia? Anasema hana chuki na Mo Dewji na kuongeza kuwa anayemsimanga Mo siyo mwana Simba ni kiumbe kingine, “Mimi simchukulii Mo kama muwekezaji pekee, namchukulia kama mtu jasiri ambaye anatumia nguvu na pesa zake kuisaidia Simba, hata hiyo…

Read More

MERIDIANBET KASINO NI AVIATOR, KILA HATUA USHINDI

Kuna ile michezo mingine ya kasino, halafu kuna Aviator ya Meridianbet usipime aiseeh inatoa washindi kirahisi sana, mchezo huu unapatika kwenye kasino ya mtandaoni, kama ulikuwa unatufta njia rahisi ya kupiga mkwanja mrefu kasino, basi kiu yako imepata maji, cheza Aviator sasa utaona maajabu yake. Mchezo huu unahusisha urushaji wa ndege, sasa wewe ndiyo unapaswa…

Read More

KOCHA WA VIUNGO AFUNGUKA KUTIMKA YANGA

ALIYEKUWA mtaalamu wa Viungo Yanga, Youssef Ammar amefunguka kuondoka katika klabu hiyo, hivyo hatakuwa sehemu ya Benchi la Ufundi la timu hiyo. Youssef alisema kuwa anaondoka Yanga, kutokana na shinikizo la Kocha Mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi, ambaye ameshinikiza kwenda kwa uongozi na kuwaambia anapaswa kuachwa. Aliongeza kuwa kwa sasa hawezi kuweka wazi kila…

Read More

RODRYGO ARIPOTIWA KUWAVUTIA MANCHESTER CITY

Rodrygo anaripotiwa kuwavutia Manchester City baada ya kucheza vizuri na kuwa sehemu muhimu katika mafanikio ya Real Madrid msimu huu, akifunga mabao 17 katika michuano yote aliyocheza msimu wa 2023/24 na kutoa pasi tisa za mabao. City wanathamini uwepo wa Rodrygo katika klabu Madrid, baada ya kumuona kuwa ni mtu anayehitajika kwenye timu lakini Ujio…

Read More

???? ????: BRIAN PRISKE ATANGAZWA KOCHA MPYA FEYENOORD

Klabu ya Feyenoord ya Uholanzi imemteua mkufunzi Brian Priske kuwa kocha mkuu klabuni hapo akichukua mikoba ya Arne Slot aliyetimkia Liverpool. Priske (47) raia wa Denmark ambaye amewahi kuinoa klabu ya Royal Antwerp ya Ubelgiji hivi karibuni alikuwa akiifundisha klabu ya Sparta Praha ambayo ameiongoza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Jamhuri ya Czech mara…

Read More