
MWAMBA HUYU HAPA KWENYE HESABU ZA SIMBA
THIERRY Manzi raia wa Rwanda anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Simba kwa ajili ya kujiunga na timu hiyo msimu ujao. Simba imepishana na ubingwa ambao upo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia. Yanga pia imetinga hatua ya fainali ya Azam Sports Federation iliposhinda mbele ya Singida Big…