>

WANASIMBA WAITWA KMC COMPLEX KUPATA BURUDANI

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa Wanasimba wasikubali kukaa nyumbani Agosti 31 2024 timu hiyo itakapokuwa ikicheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Leo timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids inatarajiwa kutupa kete hiyo ya kimataifa saa 10:00 jioni. Ally amebainisha…

Read More

YANGA: HAIKUWA RAHISI KUVUNA POINTI TATU ZA KAGERA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa haikuwa rahisi kuvuna pointi tatu muhimu mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kwanza ndani ya msimu wa 2024/25. Ipo wazi kwamba mchezo wao wa msimu wa 2023/24 walipocheza Kaitaba baada ya dakika 90 ubao ulisoma Kager Sugar 0-0 Yanga hivyo mabingwa hao watetezi waligawana pointi mojamoja na Kagera…

Read More

TAIFA STARS KAZI IMEANZA

KAZI imeanza kwa wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars kwa ajili ya maandalizi ya michezo miwili ya kujiandaa kufuzu AFCON 2025. Taifa Stars, chini ya Kaimu Kocha Mkuu Hemed Morocco tayari wachezaji wameingia kambini baada ya kukamilisha majukumu yao kutoka kwenye timu ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara Tanzania. Agosti 29 2024 Kikosi cha…

Read More

GAMONDI ATAJA TATIZO LA YANGA LILIPO

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa tatizo kubwa ambalo lilikuwa kwenye mchezo wao wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar ni kushindwa kutumia nafasi ambazo walizipata ndani ya uwanja. Ni Agosti 29 2024 ilikuwa Uwanja wa Kaitaba baada ya dakika 90 ulisoma Kagera Sugar 0-2 Yanga na mabao…

Read More

FOUNTAIN GATE YAWAPIGA MKWARA SIMBA

BAADA ya ushindi wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara, Fountain Gate wameipiga mkwara timu iliyowafunga katika mchezo wa kwanza ambayo ni Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Agosti 29 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Majaliwa ulisoma Namungo 0-2 Fountain Gate huku Namungo wakikosa penalti dakika ya 25 kwenye mchezo huo…

Read More

Cheza Kasino ya Blackjack 2 Piga Mamilioni

Blackjack 2 ni moja ya mchezo wa kadi rahisi sana kucheza na kuibuka mshindi, wakati huo unafurahia mhcezo kutoka Meridianbet kasino ya mtandaoni, hakikisha tu umejisajili na kama bado gusa hapa hapa kujisajili Meridianbet. Kabla ya yote hebu tuzungumzie kidogo kuhusu mchezo wa blackjack wenyewe. Blackjack ni mchezo wa kadi ambao unajulikana kama moja ya…

Read More

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KAGOMA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo bega kwa bega na mchezaji wao Yusuph Kagoma na unatamba naye kwa kuwa anasifa zote za kuwa katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Mechi mbili za Ligi Kuu Bara Fadlu ameongoza na kuhushudia kikosi hicho kikipata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Tabora United kwa mabao…

Read More

KAGERA SUGAR KUWAKARIBISHA YANGA KAITABA

MABINGWA mara 30 ndani ya Ligi Kuu Bara Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi leo Agosti 29 2024 itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar. Kagera Sugar wanawakaribisha mabingwa watetezi waliotwaa taji msimu wa 2023/24 na baada ya kucheza mechi 30 ni pointi 80 walikomba jumlajumla. Ikumbukwe kwamba msimu wa…

Read More

CHUKUA MAMILIONI LEO NA EXPANSE KASINO

 Ile promosheni yenye mibonasi na zawadi kibao ya kasino bado inaendelea, jisajili na Meridianbet kisha cheza michezo ya kasino ya mtandaoni, huku ukifurahia ushindi mkubwa kwa njia rahisi. Shindano la Epxanse Kasino, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino na Sloti ambayo inaweza kukufanya kuwa Milionea. Jumla…

Read More

JKT TANZANIA YATOSHANA NGUVU NA AZAM FC

WAJEDA JKT Tanzania wametoshana nguvu na matajiri wa Dar, Azam FC kwenye mchezo wa ufunguzi kwa timu zote mbili msimu wa 2024/25. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Meja Isahmuyo umesoma JKT Tanzania 0-0 Azam FC hivyo wababe hawa wawili wamegawana pointi mojamoja. Kwenye mchezo wa leo timu zote mbili kipindi cha pili…

Read More