>

MZEE WA WAA BADO ANA KIBARUA KIZITO SIMBA

STARAIKA refu kuliko goli ndani ya Simba, Steven Mukwala ana kibarua kizito ndani ya Simba kufunga mabao mengi ili kuongeza hali ya kujiamini kutokana na mwendo ambao ameanza nao kuwa wakusuasua katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ikumbukwe kwamba nyota huyo haufunga kwenye mechi tatu mfululizo za ushindani ilikuwa Ngao ya Jamii…

Read More

Maajabu ya Wild 27 Kasino ya Mtandaoni

Kama unapenda sloti za matunda, basi chaguo lako limepata kiburudisho chenye hisia kali kiasi kwamba huwezi kusubiri kupoteza hata dakika moja bila kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.   Wild 27 ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni iliyoandaliwa na mtayarishaji wa michezo ya kasino Fazi . Kwenye mchezo huu wa sloti, kwa msaada wa matunda…

Read More

SABABU YA SAMATTA KUTOITWA STARS YATAJWA, JOB AJUMUISHWA

KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitaingia kambini Agosti 28 2024 ambapo kutakuwa na mechi mbili kujiandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2025 dhidi ya Ethiopia na Guinea itaayochezwa Septemba 4 na Septemba 14 2024. Kaimu Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman Morocco amesema kuwa wachezaji wanaitwa kwenye timu kulingana na mahitaji…

Read More

SIMBA QUEENS YAPOTEZA KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimatafa Simba Queens wamepoteza mchezo wa nusu fainali kwa kufungwa mabao 3-2 dhidi ya Kenya Police Bullets uliochezwa Uwanja wa Abebe Bikila, Ethiopia. Simba Queens ilikuwa inachuana kuwania tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao kupitia kwa kwa Nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa). Kupoteza kwenye…

Read More

AZAM FC MATAJIRI WA DAR KIMATAIFA MWENDO WAMEUMALIZA

MATAJIRI wa Dar, Azam FC kwenye anga la kimataifa mwendo wameuliza kwa kufungashiwa virago na APR ya Rwanda katika hatua a awali Ligi ya Mabingwa Afrika. Ipo wazi kwamba kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Dar Azam FC inyonolewa na Kocha Mkuu, YusuphΒ  Dabo ilipata ushindi wa bao 1-0 hivyo ilikuwa na…

Read More

MWAMBA AHOUA AMELETA BALAA FOUNTAIN GATE

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Jean Ahoua ameushtua uongozi wa Fountain Gate baada ya bao lake la kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara kutajwa kuwa ni miongoni mwa bao bora katika mchezo huo. Ukiweka mbali uongozi wa Fountain Gate kupitia kwa Ofisa Habari, Issa Liponda kutaja kuwa hilo ni bao pekee ambalo lilikuwa katika mipango makini…

Read More

TANO KUNTU ZA HANS RAFAEL MECHI YA SIMBA DHIDI YA FOUNTAIN GATE

1. SIMBA WANACHEZA KWA MALENGO Yes! Mnyama anashinda kwa swagger,mnyama anapika kila kiumbe mbele yake,magoli ya kideo yanafungwa na cleen sheet zinapatikana…mechi mbili goli (7) na Cleen sheet (2),mnyama kileleni anapepea 2. DEBORAH FERNANDEZ ROLE Kuna namna Fadlu anamtumia Fernandez kwenye kikosi chake,wakati Simba wanatoka nyuma Kapombe anapewa uhuru mkubwa wa kupanda mbele kisha Debora…

Read More

MSEMAJI WA AZAM AFUNGUKA BAADA YA KUTUPWA NJE KLABU BINGWA

“Tumewaangusha Mashabiki wetu, Tumewaangusha Watanzania wote tumekuwa Aibu kwenye Taifa la watu mbele ya Team ambayo tunaiweza mbele ya Team ambayo tungeweza pata ushindi nyumbani na ugenini” . “Hatujacheza vizuri hata kidogo mechi zote mbili kuna wakati lazima ukweli mchungu useme tumefedheheka mno. Timu yetu sio mbaya ina ubora wa hali ya juu lakini tumeondoshwa…

Read More

Bado Mamilioni ya Expanse Yanatoka. Cheza Ushinde

Ulimwengu wa Kasino Kiganjani mwako, cheza shindano la Expanse lenye michezo ya kasino ya mtandaoni ujishindie Mamilioni ya Kutosha. Meridianbet pia inakupa ofa ya bonasi ya ukaribisho ya 300%. Jisajili kuvuna mibonasi kibao.   Katika Promosheni ya shindano la Epxanse Kasino, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya…

Read More