>

MRITHI MIKOBA YA MICHAEL FRED MAMBO SAFI SIMBA

RASMI Simba haitakuwa na nyota wao Michael Fred ambaye alikuwa kwenye kikosi hicho msimu wa 2023/24 kwenye mechi za ushindani kitaifa na kimataifa. Ikumbukwe kwamba Michael ambaye alipewa jina la fungafunga anaingia kwenye orodha ya nyota wapya ambao walipata nafasi ya kufunga kwenye Kariakoo Dabi kwenye mchezo wake wa kwanza ndani ya ardhi ya Tanzania….

Read More

ANZA KIVINGINE IJUMAA YA LEO NA MERIDIANBET, PIGA PESA

Ndugu mteja kama wiki iliyopita ulishindwa kupiga pesa ukiwa na Meridianbet, basi kuanzia leo hii anza kuokoto maokoto ukibashiri na mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania. Ingia www.meridianbet.co.tz. Kimbunga kitawaka pale LALIGA ambapo kutakuwa na michezo miwili  Celta Vigo atamenyana dhidi ya Valencia ambaye alipoteza mechi yake ya kwanza ya ligi. Ikumbukwe kuwa timu hizi mbili…

Read More

KOCHA WA VITAL’O AKATA TAMAA MARUDIANO DHIDI YA YANGA

  Kocha wa klabu ya Vital’O FC, Sahabo Parris amebainisha kuwa ni vigumu kuifunga Yanga SC mabao matano katika mchezo wa marudiano wa klabu bingwa barani Afrika. Amesema kuwa kitu ambacho wanakwenda kufanya ni kuangalia kama hawatafungwa mabao manne tena katika mchezo wa marudiano ambao utapigwa uwanja wa Azam Complex Chamanzi siku ya Jumamosi Agosti…

Read More

EXPANSE KASINO INATAJIRISHA. CHEZA MERIDIANBET

Expanse Kasino ni sehemu nzuri sana ya kutajirisha watu wengi, haswa kwa wale wanaocheza kasino ya mtandaoni wanajiweka kwenye nafasi ya karibu Zaidi na utajiri. Zaidi kabisa ujisajili na Meridianbet kuanza safari yako. Katika Promosheni ya shindano la Epxanse Kasino, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino…

Read More

KUMBE! SIMBA WANASHINDA LAKINI HAWANA FURAHA

AHMED Ally, meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanashinda lakini hawana furaha kwa kuwa bado wanatengeneza timu hiyo. Mchezo wa kwanza wa Simba katika Ligi Kuu Bara ilikuwa dhidi ya Tabora United uliochezwa Uwanja wa KMC, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 3-0 Tabora United kwa msimu wa 2024/25…

Read More

Sloti ya Zombie Apocalypsie Inatema Mamilioni

Sloti ya Zombie Apocalypse Huu ni moja kati ya michezo migni ya Meridianbet rahisi kucheza na kushinda, kwa kubonyeza kitufe cha Spin tayari mchezo utafunguka na utaweka dau utakalo ili kuwa mtaji wako wa utajiri. Jisajili sasa na cheza Zombie Apocalypsie ushinde Mamilioni. Hatua za Ushindi Kasino ya Mtandaoni Zombie Apocalypse ni Sloti yenye mistari…

Read More

ISHU YA YANGA KUTOA MILIONI 216 KISA OKRA YAMUIBUA JEMBE

ANAANDIKA Jembe kuhusu ishu ya Yanga na Okra Magic. BAADA ya taarifa kueleza kuwa Yanga wanapaswa kumlipa mchezaji wao wa zamani Okra Magic kiasi cha milioni 216, mwandishi wa Habari za Michezo Tanzania Saleh Jembe ameweka wazi kuwa haifurahishi Yanga kuingia kwenye madeni yasiyo ya lazima kisa usajili wa furahisha genge. Jembe ameanza namna hii:…

Read More