>

KAGERA SUGAR KUWAKARIBISHA YANGA KAITABA

MABINGWA mara 30 ndani ya Ligi Kuu Bara Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi leo Agosti 29 2024 itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar. Kagera Sugar wanawakaribisha mabingwa watetezi waliotwaa taji msimu wa 2023/24 na baada ya kucheza mechi 30 ni pointi 80 walikomba jumlajumla. Ikumbukwe kwamba msimu wa…

Read More

CHUKUA MAMILIONI LEO NA EXPANSE KASINO

 Ile promosheni yenye mibonasi na zawadi kibao ya kasino bado inaendelea, jisajili na Meridianbet kisha cheza michezo ya kasino ya mtandaoni, huku ukifurahia ushindi mkubwa kwa njia rahisi. Shindano la Epxanse Kasino, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino na Sloti ambayo inaweza kukufanya kuwa Milionea. Jumla…

Read More

JKT TANZANIA YATOSHANA NGUVU NA AZAM FC

WAJEDA JKT Tanzania wametoshana nguvu na matajiri wa Dar, Azam FC kwenye mchezo wa ufunguzi kwa timu zote mbili msimu wa 2024/25. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Meja Isahmuyo umesoma JKT Tanzania 0-0 Azam FC hivyo wababe hawa wawili wamegawana pointi mojamoja. Kwenye mchezo wa leo timu zote mbili kipindi cha pili…

Read More

AMANI COMPLEX UMERUHUSIWA NA CAF KUTUMIKA

Shirikisho la soka Zanzibar (ZFF) limekanusha taarifa zinazosambaa kuwa uwanja wa New Amaan Complex umefungiwa na na Shirikisho la soka Afrika (CAF) kuchezewa mchezo wa hatua ya kwanza (2nd Preliminary Round) ya CAFCC/CL inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Akizungumzia taarifa hizo Afisa Habari wa ZFF, Mohamed Kabwanga amesema Uwanja huo umeruhusiwa na CAF kutumika kwenye hatua…

Read More

SIMBA YAIVUTIA KASI AL HILAL KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa maandalizi ya mchezo wao wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Al Hilal yamekamilika kwa asilimia kubwa na kilichopo kwa sasa ni maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo unaosubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amebainisha kuwa wachezaji ambao walikuwa wamepewa mapumziko…

Read More

MIKWANJA SIO WIKIENDI TU LEO MZIGO UPO WA KUTOSHA

Nani alikuambia mkwanja unapatikana wikiendi mpaka wikiendi tu huyo alikudanganya kupitia Meridianbet unaweza kutengeneza mkwanja kila siku, Jumatano ya leo ni moja ya siku hizo kwani itakwenda kupigwa michezo mikali ya kukupa maokoto. Michezo mikali itakwenda kupigwa katika ligi mbalimbali ambapo La liga, michezo ya kufuzu ligi ya mabingwa ulaya msimu huu itapigwa, Lakini pia…

Read More

MWAMBA ADEBAYO APEWA TUZO YA MVP

MSHAMBULIAJi mpya wa Singida Black Stars Victorien Adebayo amepewa tuzo ya ufungaji bora na mchezaji bora, (MVP) kutokana na uwezo alionao ndani ya uwanja kwenye kucheka na nyavu.  Mshambuliaji raia wa Nigeria alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Simba kwa muda mrefu mpango huo umekwama na mwisho yupo Bongo akiwa Klabu ya Singida Black Stars…

Read More

MCHEZO HUU UTAKUPA USHINDI KIRAHISI MERIDIANBET

Kipindi hiki cha kukaribia Msimu wa Sikukuu unaweza kujikusanyia mavuno mengi kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, hili ni shamba kubwa la michezo ya kasino ya mtandaoni inayotoa maokoto ya kutosha kila unapocheza. Moja ya michezo ya kasino ya mtandaoni inayolipa Zaidi ni Wildfire Wins ni mchezo wa kasino wenye safuwima tano zilizopangwa kwenye safu…

Read More

SITA WA SIMBA WAITWA TIMU ZA TAIFA

MASTAA sita wa Simba inayoongoza Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 wameitwa kwenye majukumu yao ya timu ya taifa kwa ajili ya kuwania kufuzu AFCON 2025. Ipo wazi kwamba Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwenye mechi mbili za ligi ambazo ni dakika 180 imekomba jumla ya pointi sita na safu ya ushambuliaji imefunga…

Read More

AZAM FC WANAANZA KAZI BONGO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo wanafungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya JKT Tanzania. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Azam FC iligotea nafasi ya pili na kupeperusha bendera ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo imegotea hatua ya awali. APR ya Rwanda…

Read More

YANGA HESABU ZIMEHAMIA HUKU SASA

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi wamebainisha kuwa mpango mkubwa ni kupata matokeo kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Kagera Sugar. Huo utakuwa ni mchezo wa kwanza kwa Yanga inayonolewa na Gamondi ambaye alikuwa katika kikosi msimu wa 2023/24 na kushuhudia timu ikigotea nafasi ya kwanza na…

Read More