>

UEFA NATIONS LEAGUE KUTOA MAMILIONEA LEO

Unaweza kushinda mamilioni leo kwa kubashiri michezo mbalimbali ya michuano ya Uefa Nations League ambayo itapigwa leo, Kwani kipindi hiki ligi zimesimama michuano hii ndio inaweza kukupa kitita cha uhakika.   Michuano ya Uefa Nations League mbali na kujumuisha michezo mikali lakini pia imepewa Odds bomba sana kupitia tovuti ya Meridianbet, Hii ikiwa ni faida…

Read More

MOROCCO: TUMECHEZA NA TIMU NGUMU, HAIKUWA RAHISI

BAADA ya timu ya taifa ya Tanzania , Taifa Stars kutoshana nguvu na timu ya taifa ya Ethiopia katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025 Hemed Morocco, Kaimu Kocha Mkuu wa Stars amesema kuwa wamecheza na tim ngumu hivyo haikuwa rahisi kupata matokeo mazuri. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa Septemba 4…

Read More

TUZO YA SIMBA YATOLEWA UFAFANUZI

BAADA ya Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids kuchaguliwa kuwa kocha bora ndani ya Agosti 2024 na Jean Ahoua kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa Agosti, uongozi wa Simba umetoa ufafanuzi kuwa kwa namna yoyote ile ilikuwa ni lazima watwae tuzo hiyo kutokana na rekodi zilizoandikwa. Ipo wazi kuwa baada ya mechi mbili msimu wa 2024/25…

Read More

FUNGAFUNGA: CHAMA NI MCHEZAJI MZURI

MICHAEL Fred, fungafunga mshambuliaji wa zamani wa Simba amesema kuwa mchezaji Clatous Chama ni miongoni mwa wachezaji wazuri aliopata nafasi ya kucheza nao kwenye ligi. Kwa sasa Chama yupo ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi alipata nafasi ya kucheza mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaiataba baada ya dakika…

Read More

MICHAEL FRED AMTAJA MFUNGAJI BORA

MICHAEL Fred mshambuliaji wa zamani wa Simba amesema kuwa ikiwa atakuwa ndani ya Ligi Kuu Bara ana amini kwamba ikiwa atakuwa ndani ya Ligi Kuu Bara atakuwa mfungaji bora kwani kutokana na uwezo wakufanya hivyo ndani ya uwanja. Msimu wa 2024/25 Fred akiwa na uzi wa Simba alifunga jumla ya mabao sita na miongoni mwa…

Read More

AZAM FC YAVUNJA BENCHI ZIMA LA UFUNDI

RASMI ungozi wa Azam FC umefikia makubaliano ya kuvunja benchi la ufundi lililokuwa chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo raia wa Senegal. Taarifa iliyotolewa na Azam FC mapema Septemba 3 2024 imeeleza kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya Azam FC na kocha Youssouph Dabo wamefikia makubaliano ya pande mbili ya kutoendelea kufanya kazi pamoja kuanzia Septemba…

Read More

TAIFA STARS KAMILI GADO KUIVAA ETHIOPIA

BENCHI la ufundi la timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars limeweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Ethiopia yapo vizuri kwa kila mchezaji kuwa tayari kuipambania jezi ya Tanzania. Ni Septemba 4 2024 Taifa Stars inatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkapa kwa ajili ya mchezo huo wa kuwania kufuzu AFCON…

Read More

TATU ZAIPA BAO SIMBA NA TATU ZAIPONZA

MWENDO wa pasi tatu ilikuwa Uwanja wa KMC, Complex kwa Simba na Al Hilal kufunga bao mojamoja katika mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki ambapo ni pasi tatu ziliipa bao la kuongoza na pasi tatu zikaiponza Simba kwenye eneo la ulinzi ndani ya dakika 90. Ni Simba walianza kupachika bao la kuongoza dakika ya 25…

Read More

BEKI WA ZAMANI EPL, SOL BAMBA AFARIKI

Beki wa zamani wa Leicester City, Leeds United na Cardiff City, Sol Bamba ambaye amepoteza maisha Agosti 31, 2024 akiwa na umri wa miaka 39. Bamba raia wa Ivory Coast ambaye alikuwa kocha wa kocha wa klabu ya Adanaspor inayoshiriki Ligi Kuu ya TFF Nchini Uturuki amefariki baada ya kuugua ghafla. Taarifa ya klabu hiyo…

Read More

ATEBA AMEANZA KAZI NA ZALI, MANULA MOTO

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Leonal Ateba ameanza kazi na zali la kufunga bao moja kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Ateba alikosekana kwenye mechi zilizopita kwa kuwa alikuwa hajapata vibali vya kazi kwa mujibu wa Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally rasmi Agosti 31 alipata…

Read More

JOB AJIPAKULIA MINYAMA YANGA KWA HILI

BEKI wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, Dickson Job amesema kuwa ameandika rekodi yake nyingine mpya msimu wa 2024/25 kwa kutoa pasi ya kwanza katika Ligi Kuu Bara kwa kusema hivyo ni kama anajipakulia minyama hivi kwa kuwa rekod zinaonyesha aliyefanya hivyo ni Pacome. Ipo wazi kuwa Agosti 29 2024 mabingwa mara 30 Yanga…

Read More