>

MZEE MAGOMA ASIMULIA MKASA wa MAISHA YAKE – ALIVYOTUPWA na BABA’AKE KWA MAMA MLEZI AKATOROKA KIJANJA

Mzee Juma Magoma amepiga stori na Global TV na kufunguka mambo mengi kuhusu maisha yake, likiwemo suala la wazazi wake kutengana tangu akiwa na umri wa miaka 6.

Mzee huyohivi karibuni alikamata vichwa vya wapenda michezo nchini kutokana na sakata lake na uongozi wa Klabu ya Yanga.