DAKIKA 450 ZA JASHO JINGI SIMBA
IKIWA kwa sasa ipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Hitimana Thiery na msaidizi wake Seleman Matola timu ya Simba imekamilisha dakika 450 za jasho jingi uwanjani huku ikiwa kwenye mwendo wa kushinda bao mojamoja kwenye mechi zake ilizoshinda. Simba ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na msimu wa 2021/22 wanapata upinzani wa maana kutoka…