FEISAL ALINYOOSHWA MBELE YA KMC

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum alikiona cha moto juzi wakati timu yake ikishinda kwa mabao 2-0 dhidi ya KMC kutokana na kuchezewa faulo za kutosha. Rekodi zinaonyesha kwamba Fei alichezewa jumla ya faulo 4 zote ilikuwa ni kipindi cha kwanza jambo lililofanya ashindwe kuwa kwenye mwendo ambao alikuwa ameuzoea. Alikuwa kwenye vita kali na nyota…

Read More

DUBE AMPIGA MKWARA MAYELE

STRAIKA wa Azam FC, Prince Dube, amesema kwa sasa anahitaji kufunga mfululizo ili kuisaidia timu yake kumaliza ligi kwenye nafasi nzuri na kuwania Tuzo ya Ufungaji Bora msimu huu. Dube aliyasema hayo baada ya kufanikiwa kufunga bao lake la kwanza msimu huu wakati Azam FC ikiibuka na ushindi wa mabao 1-2 dhidi ya Namungo kwenye…

Read More

YANGA WATUPA DONGO KIMTINDO SIMBA KISA KICHAPO

BAADA ya wawakilishi wa kimataifa katika Kombe la Shirikisho, Simba kufungwa 3-0 dhidi ya ASEC Mimosas watani zao wa jadi Yanga wametupa jiwe gizani kimyakimya. Kupitia Insta yao waliachia picha ya Djuma Shaban akiwa mwenye kicheko na kuuliza..wawakilishi wa nini..au basi… Haji Manara Ofisa Habari wa Yanga aliweza kudondosha maoni yake kwa kuandika labda wawakilishi…

Read More

SAIDO KUIWAHI AZAM FC

SAID Ntibanzokiza kiungo wa Yanga ambaye alikuwa nje kwa muda kutokana na kutibu majeraha yake anatarajiwa kurejea kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Aprili 6 utakuwa ni wa mzunguko wa pili Uwanja wa Mkapa. Kiungo huyo aliumia kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Kagera Sugar na alikuwa na jambo…

Read More

YANGA YASEPA NA POINTI TATU MBELE YA KMC

MSAKO wa pointi tatu umekamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 2-0 KMC. Mabao ya Andrew Vincent aliyejifunga dk 39 na Djuma Shaban dk 51. KMC walikosa utulivu hali iliyofanya wakose nafasi walizotengeneza na ni kadi 5 za njano wameonyeshwa. Yanga inafikisha pointi 48. KMC inakwama kupata pointi mbele ya Yanga msimu huu…

Read More

MAPUMZIKO:YANGA 1-0KMC, UWANJA WA MKAPA

NI moja ya mchezo bora wa Ligi Kuu Bara ndani ya Machi 19,2022 ikiwa ni mapumziko ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 1-0 KMC. Bao la kujifunga la Dante dk 39 katika harakati za kuokoa mpira uliopigwa na Fiston Mayele. Yanga wamenyimwa penalti dk 16 na KMC wamenyimwa kona dk 44. Kasi ya KMC…

Read More

KIKOSI CHA KMC DHIDI YA YANGA

KMC ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Yanga, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku. Hiki hapa kikosi kinachitarajiwa kuanza:- Juma Kaseja Hassan Ramadhan Sadal Lipangile Andrew Vincent Masoud Abdalah Kenny Ally Emmanuel Mvuyekule Matheo Anthony Idd Lipagwile Hassan Kabunda Akiba Shikalo Ramadhan Ismail Gambo Abas Kapombe Awesu Awesu Martin Kigi Abdul Hillary Miraj…

Read More

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA KMC

MACHI 19, Yanga ina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya KMC Uwanja wa Mkapa na hiki hapa kikosi kitakachoanza:- Diarra Djigui Djuma Shaban Farid Mussa Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala Sure Boy Nkane Chico Ushindi Feisal Salum Fiston Mayele Akiba Mshery Bacca Kibwana Yassin Mauya Balama Ambundo Kaseke Makambo

Read More

MSUVA AITABIRIA MAKUBWA SIMBA KIMATAIFA

MCHEZAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga kwenye kikosi cha Wydad Casablanca ya Morocco, Simon Msuva amesema kuwa kwa mwendo wa Simba wanaouonyesha kwenye michuano ya kimataifa watafika mbali. Msuva kwa sasa anaripotiwa kuwa nchini hapa kwa madai yuko kwenye mgogoro wa kimaslahi na klabu yake hiyo ya Morocco. Msuva amesema Simba wameshakuwa wazoefu kwenye mashindano…

Read More

KOCHA NABI ATAJA MAMBO MATANO YA MAYELE

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametaja mambo muhimu ya Fiston Mayele yanayofanya aweze kuanza moja kwa moja kikosi cha kwanza. Mayele ni mtupiaji namba moja ndani ya Yanga akiwa ametupia mabao 10 na pasi tatu katika mechi 17 ambazo Yanga imecheza ikiwa na pointi 45 kibindoni. Nabi amesema kuwa Mayele ana mambo mengi ya…

Read More

BOCCO HAJATUPIA NDANI YA LIGI MECHI 14

MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco hajafunga bao ndani ya ligi kwa msimu wa 2021/22 katika mechi 14 ambazo amecheza. Ikumbukwe kwamba Bocco ni mshambuliaji na ana kibarua cha kutetea kiatu bora ambacho alitwaa baada ya kufunga mabao 16 na asisti mbili msimu wa 2020/21. Msimu huu mambo yamekuwa magumu kwa nyota huyo mzawa ambaye amecheza…

Read More