
UWANJA WA MKAPA MAMBO NI BYUTIBYUTI
UWANJA wa Mkapa mambo ni byutibyuti,mashabiki wa Yanga baadhi tayari wapo ndani ya uwanja kusubiri burudani na utambulisho wa wachezaji wapya huku mambo yakiwa ni byutibyuti. Mbali na utambulisho huo pia kuna mechi ya kimataifa ya kirafiki ambayo inatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku itakuwa dhidi ya Vipers SC. Mgeni rasmi wa shughuli ya leo ni Makamu…