
KIUNGO MPYA SIMBA ANAFIKIRIA MAKOMBE
KIUNGO Mnigeria Victor Akpan ambaye ametambulishwa ndani ya Simba ameweka wazi kuwa kwa msimu ujao anaamini kuwa watashinda makombe baada ya timu hiyo kuwa na wakati mbaya msimu uliopita. Tayari kiungo huyo ametambulishwa ndani ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili akitokea kikosi cha Coastal Union. Akpan alitupia bao moja na kutoa pasi mbili ndani…