
SIMBA YAANZA KWA USHINDI KIMATAIFA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba ameanza kazi yake kwa mara ya kwanza kwenye mashindano a kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika na timu hiyo imeshinda mabao 2-0 dhidi ya ig Bullets. Mchezo huo wakiwa ugenini Uwanja wa Bingu, kipindi cha kwanza Simba walianza kupata bao la kuongoza kupitia kwa Moses Phiri dakika ya 28….