MAKOSA YAFANYIWE KAZI KUIMARISHA STARS
DHAMIRA kubwa kwenye mechi za kirafiki ni kutambua makosa yalipo ili kuyafanyia kazi kwenye mechi zijazo. Tumeona namna wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania walivyopambana dhidi ya Sudan. Kupata sare ya kufungana bao 1-1 ugenini sio jambo la kujutia bali ni kuangalia wapi makosa yalifanyika. Kwenye safu ya ushambuliaji ni muhimu kuongeza umakini wakati…