NAMNA REKODI DUME ILIVYOTIBULIWA UWANJA WA MKAPA
ZILE ngome za ubishi kati ya vinara wa Ligi Kuu Bara,Yanga dhidi ya wakali kutoka kusini Namungo zimevunjwavunjwa na hatimaye mbabe ameweza kupatikana kwenye mchezo wa sita. Dakika 450 za machozi na jasho zimevunjwa Yanga imeibuka na ushindi baada ya kuweza kucheza mechi tano ambazo ni dk 450 bila kuambulia ushindi na badala yake wote…