JOHN BOCCO KWENYE KIBARUA KIGUMU SIMBA

 MSIMU wa 2021/22, nahodha wa Simba John Bocco ametupia mabao mawili kwenye Ligi Kuu Bara ambayo imekuwa na ushindani mkubwa. Bao lake la kwanza alifunga mbele ya Ruvu Shooting kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ilikuwa ni baada ya kupitia msoto wa muda mrefu bila kufunga. Bao lake la pili alifunga mbele ya Kagera Sugar,…

Read More

CHEKI NYOTA WALIOKOSA PENALTI BONGO

LIKIWEKWA tuta,asilimia 98 wengi wanahesabu ngoma lazima ijae wavuni lakini kuna mastaa wengi ambao wamekwama kufanya hivyo kwenye uwanja. Kitete cha kutetema hakikuwa kwa Fiston Mayele tu msimu huu hata Meddie Kagere wa Simba alipata kitete cha kufunga. Rekodi zinaonyesha kwamba kitete cha penalti kipo kwa mastaa wa Simba ambao wamekosa penalti nyingi,hapa tunakuletea baadhi…

Read More

MAPITO YA GEORGE MPOLE NA GUMZO LAKE KWA SASA

KWA sasa gumzo kubwa kwenye Ligi Kuu Bara ni mshambuliaji George Mpole anayekipiga pale Geita Gold FC akiwa mzawa mwenye mabao mengi kwenye ligi msimu huu huku nafasi ya kutwaa kiatu cha ufungaji bora kwa upande wake ipo kwa asilimia 60 hadi sasa. Mpole amehusika kwenye mabao 15 ya Geita Gold ambapo hadi sasa amefunga…

Read More

MECHI 100 ZA BABA ESTER SOMO KUBWA KWA WENGINE

MECHI 100 kwa Shomari Kapombe akiwa na Simba tokea 2018 ni kazi kubwa ambayo ameifanya mkongwe huyu mwenye uwezo wa kupanda na kushuka. Yes, kwanza tuwapongeze Simba angalau kukumbuka wana mchezaji amecheza mechi idadi hiyo. Kwa kufanya hivyo itawaumbusha na wengine waweze kutambua kwamba kuna wachezaji wao wamecheza mechi ngapi na itawapa heshima kutamua mchango…

Read More

VILE PUMZI YA MOTO ITAVUTWA LEO UWANJA WA MKAPA

ILE pumzi ya moto itavutwa kwelikweli kwa wababe wawili wanaotarajiwa kukutana leo Uwanja wa Mkapa,Simba v Ruvu Shooting. Ikumbukwe kwamba wababe hawa hawajawa kwenye mwendo unaopendeza hivyo kila mmoja atakuwa anatafuta sehemu ya kutokea na haya yatafanya pumzi ivutwe namna hii:- Dakika 270 bila tabasamu Wababe hawa wanakutana wakiwa wametoka kukamilisha dk 270 ambazo ni…

Read More

USHINDANI WA LIGI UPUNGUZE MAMBO MENGI

LIGI inazidi kupamba moto kwa sasa na hilo lipo wazi hasa ukitazama namna ambavyo timu zinacheza kwa sasa kwenye mzunguko huu wa pili. Ukitazama namna pointi walizoachana kuanzia yule aliyepo nafasi ya mwisho mpaka iliyopo ndani ya 10 bora sio namba ya kutisha na zote kwa sasa bado zinapambania kushuka daraja. Ajabu ni kwamba hata…

Read More

MAPILATO WA YANGA V SIMBA,PENALTI,KADI KAMA ZOTE

MAPILATO wa mchezo wa leo wa Yanga v Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa unaambiwa weka mbali na watoto kutokana na rekodi zao kuwa ni za moto kila wanapochezesha mechi. Waamuzi ambao wapo kwenye orodha iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania ambao ni Ellyi Sasii, Mohamed Mkono, Frank Komba na Ramadhan Kayoko ambaye atakuwa mwamuzi…

Read More

REKODI ZA MASTAA WA YANGA V SIMBA,KIKOSI KAMILI

ULE utundu wa kutamba sasa unakaribia lakini kwa jeshi hili la Yanga na Simba, Aprili 30 unadhani nini kitatokea? Ngoma inatarajiwa kupigwa kwa watani hawa wa jadi ambapo vinara wa ligi ni Yanga wenye pointi 54 na mabao 35 na Simba wao wana pointi 41 na safu ya ushambuliaji imefunga mabao 23. Hapa tunakuletea jeshi…

Read More

MILIONI 400 ZAWEKWA MEZANI YANGA ISEPE NA POINTI ZA SIMBA

KATIKA kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Simba, Mdhamini wa Yanga, Bilionea Gharib Said Mohammed ‘GSM’,hivi karibuni alifanya kikao kizito na wachezaji wakiongozwa na mshambuliaji Fiston Mayele. Katika kikao hicho ambacho kilienda sambamba na kufturu pamoja, pia benchi lote la ufundi la timu hiyo linaloongozwa na Kocha Mkuu, Mtunisia, Nasreddine Nabi, lilikuwepo. Hiyo ni katika kuweka…

Read More

VITA YA YANGA V SIMA IPO NAMNA HII

KESHO kutakuwa na mchezo wa watani wa jadi katika Ligi kuu Tanzania Bara ambapo Yanga itaikaribisha Simba. Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ambao walikuwa wenyeji wa Yanga, matokeo yalikuwa 0-0. Tukienda kushuhudia mchezo wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kufanyika Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar, Yanga wataingia wakiwa na pointi 13 zaidi…

Read More

MAPILATO HAYA YANGA V SIMBA ACHA KABISA

MCHUJO mkubwa kwa sasa ambao unaendelea kwa sasa ni kwa mapilato watakaokuwa kwenye mchezo wa Yanga v Simba unaotarajiwa kuchezwa Aprili 30, Uwanja wa Mkapa. Siku 2 zimebaki kwa sasa na hapa tunakuletea wale waamuzi watano ambao waliwahi kuchezesha mechi zilizowahusu Yanga na Simba na huenda jina moja likapenya kwa wale watakaochezesha dabi ijayo na…

Read More

HAWAAMINI MACHO YAO IMEGOTA UKINGONI,TUTAONANA BAADAYE

HAWAAMINI macho yao imefika ukingoni kwa mashabiki wa Simba nao kutoamini walichokiona kwa wachezaji wao kushindwa kufikia lengo la kutinga hatua ya nusu fainali. Kupoteza kwa kufungwa penalti 4-3 mbele ya Orlando Pirates kumezima matarajio ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco kutinga hatua ya nusu fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika. Hesabu zilikuwa…

Read More

RUDIGER KUIBUKIA REAL MADRID

KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte amethibitisha kuwa beki wa kikosi cha timu hiyo, Antonio Rudiger ataondoka kikosini hapo ifikapo mwisho wa msimu huu. Klabu ya Real Madrid inapewa chapuo la kuinasa saini ya nyota huyo ambaye ana uwezo mkubwa kwenye suala a kutimiza majukumu yake awapo uwanjani. Nyota huyo anatajwa kuondoka bure kwa kuwa dili…

Read More